Let's Chat

LAPTOPU YAKO INAISHA CHAJI KWA HARAKA??? NJIA ZA KUONGEZA MUDA WA LAPTOPU YAKO KUKAA NA CHAJI.

Watu wengi wamiliki wa kompyuta wamekuwa wakilalamika kwamba kompyuta zao hazikai na chaji kiasi cha wengine kuhisi ni betri imekufa.

Lakini inaweza isiwe kwamba ni betri ndio inashida na shida ikawa ni matumizi makubwa ya umeme katika kompyuta zao. Leo katika TechTip hapa Ubeparipc tutakupa mbinu za kuifanya kompyuta yako iweze kukaa na chaji kwa mda mrefu kulipo hapo awali.

Njia ya kwanza ni kuwasha battery sever, kufanya hivi utaenda sehemu ya taarifa katika kona ya chini ya upande wa kulia na uchague “battery server”

Njia ya pili ni kubadilisha seti ya kompyuta yako na kuiseti katika, “Best power option”

Na njia ya tatu ni kupunguza mwanga wa kompyuta yako kwa kwenda sehemu ya kuandika “search box” na uandike “Brightness” kisha bonyweza “Enter” na uslide kitufe upande wako wa kushoto.

Njia ya nne katika listi yangu ni kuchomoa vifaa vyote vya nnje vilivyochomekwa katika komyuta yako kama vile simu au flash.

Na njia ya Tano ni kiweka kompyuta yako katik “Airplane mode”

Asante kwa kutembelea ukurasa wetu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *