Let's Chat

Jinsi ya kuongeza RAM ya kompyuta yako bila pesa

Hello mambo vipi, leo katika Techtip nataka nikuoneshe namna ya kuongeza RAM katika laptop yako bila kunnua RAM nyingine kwa kutumia HDD au SSD, Microspoft wanashauri SSD hasa. lengo ni kuongeza performance au uwezo wa laptop yako.

Nenda kwenye search icon na utype ADVANCED SYSTEM SETTING na utachagua sehemu imeandikwa ADVANCED na utachagua SETTING OPTIONS pia utachagua sehemu imeandikwa ADVANCED pia nenda sehemu imeandikwa CHANGE for virtual memory

microsoft recommendation ni uwe na INIRTIAL SIZE NA MAXIMUM SIZE

Kupata initial size utachukua RAM ya laptop yako X 1024X1.5

Na maximum utachukua 1024X RAM X 3

UTAZIWEKA IZO NAMBA SEHEMU HUSIKA na utaminya SET NA OK

badae utaanzisha pc yako, utakapoiwasha nenda SETTING, then STORAGE then SHOW MORE CATEGORIES then SYSTEM RESERVED Na utaona RAM yako imeongezeka ivo itasaidia kufanya GAMING na MULTITASKING

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *