Let's Chat

JINSI YA KUFANYA LAPTOP IWE NA KASI(SEED) 10X

Habari, leo katika techtip tutaelekeza jinsi ya kuongeza kasi ya laptop yako kupitia kuongeza namba za processor zitakazokuwa zina fanya kazi yoyote katika laptop yako.

Fanya ivi ~

ukiwa katika desktop page bonyeza “window key” na “R” kwa pamoja

Kisha andika “msconfig” kama ilivoandikwa apo juu, kisha bonyeza “enter”

Itakuletea kurasa kama hii imeandikwa “system configuration”

Utachagua mahali pameandikwa “boot”

Katika ukurasa wa boot chagua “advanced options”

Ukiwa katika ukurasa wa “Advanced options” uta tiki “number of processor”

Ukishatiki utakuta imeandikwa 1, 1 adi 4 ni kwajili ya performance na namba 5 adi 8 ni kwa ajili ya efficiency, kwaio utachagua namba kubwa ya processor iliyopo

Baada ya kuchaguanamba kubwa ya processor utabonyeza “ok” kisha “apply” na itakuomba kuianzisha (restart) laptop yako

Hongera umefanikiwa kuongeza kasi na uwezo wa latop yako 10X

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *