Let's Chat

HII NI SABABU LAPTOP YAKO IPO SLOW

Habari, leo katika techtip tutakuelezea sababu mojawapo inayofanya laptop yako kuwa slow na jinsi ya kutatua tatizo hili.

Sababu kubwa latptop yako inakuwa slow pale unapoitumia ni zile “background apps” hizi ni komyuta programu ambazo zinaendelea kuwa wazi ata pale wakati huzitumii, hivyo kufanya laptop yako kuwa nzito pale unapotumia.

Kuondoa izo “background apps” ili laptopu yako iwe na kasi kubwa 10x fanya ivi~

Minya “controll” “shift” na “escape” kwapamoja , utakuwa umefungua “task manager” hapa utaziona background apps zote

Kuzifunga hizi background apps ambazo zipo lakini huzitumii uta “rightclick” app unayotaka ifunga kisha utachagua “end task” utafanya hivi kwa apps zote unazotaka kuzifunga

Kisha utaianzisha “restart” laptop yako , ikiwaka inakuwa na maximum speed kulipo apo mwanzo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *